MetaTrader WebTerminal
MetaTrader WebTerminal
Fanya trade kwenye majukwaa yanayoongoza duniani moja kwa moja kutoka kwa kivinjari chako - hakuna vipakuliwa.
Huhitaji kupakua, wala kusakinisha
MetaTrader WebTerminal hukuruhusu kufanya trade ya masoko ya fedha bila kusakinisha programu zozote za ziada. Unaweza kufanya trade kupitia kivinjari kwenye mfumo wowote wa uendeshaji wenye utendakazi mwingi sawa na toleo la kompyuta ya mezani.
Kila alama katika sehemu moja
MetaTrader WebTerminal hukuwezesha kufikia kila mojawapo ya instrument inayotolewa na Exness. Kutoka kwenye Market Watch ya MetaTrader, unaweza kufuatilia bei kwa wakati halisi, spreads na zaidi kwa kila CFD inayopatikana. Badili kati ya chati kwa mbofyo mmoja na ufungue mpya papo hapo wakati wowote unapotaka.
Uchanganuzi wa kina
MetaTrader ni jukwaa linalotumiwa na traders wakubwa kwa sababu ina indicators zaidi ya 40 zilizojengewa ndani, zinazoweza kubinafsishwa kukufaa na kalenda ya kiuchumi. Takriban kipengele chochote cha chati kinaweza kurekebishwa upendavyo, na michanganyiko ya indicators ina uwezekano wa kutokuwa na mwisho.
Kasi na usalama zaidi
WebTerminal ni programu ya wavuti ya HTML5 iliyotengenezwa na muundaji wa MT4, na kuifanya kuwa jukwaa la wavuti linalotegemewa, la haraka na linalofaa mtumiaji. Taarifa na data zote husimbwa kwa njia fiche kwa usalama wakati zinapotumwa.
Maelezo ya jukwaa
MetaTrader 4 WebTerminal | MetaTrader 5 WebTerminal |
---|---|
Inapatikana kwenye | |
Windows, Linux, macOS, iOS, Android | Windows, Linux, macOS, iOS, Android |
Aina za Akaunti | |
Akaunti zote za MT4 | Akaunti zote za MT5 |
Aina za chati | |
Candle, bar, line | Candle, bar, line |
Orders zinazosubiri | |
Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, take profit, stop loss | Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, buy stop limit, sell stop limit, take profit, stop loss |