Programu za simu za MetaTrader

Fanya trade kwenye majukwaa yanayoongoza duniani moja kwa moja kutoka kwenye simu au kompyuta kibao chako.

Pakua MetaTrader 5 ya Simu

Manufaa yote mfukoni mwako

Programu za simu za MetaTrader zinapatikana kwa vifaa vya iOS na Android na hutoa utendakazi sawa na toleo la kompyuta ya mezani. Chagua kutoka kwa MT4 au MT5 na upate chati shirikishi za quote, seti kamili ya orders za kutrade na vifaa vya uchanganuzi.

Biashara ya haraka na rahisi

Fuatilia hali ya akaunti yako, fuatilia historia yako ya kutrade, na ununue na uuze financial instruments kwa mbofyo mmoja. Programu za MetaTrader pia hutoa vipengele vya ziada kama vile jumuiya ya traders na arifa za programu.

Uchanganuzi wa kina

MetaTrader ni jukwaa linalopendelewa na traders wakubwa kwa sababu ina indicators zaidi ya 40 zilizojengewa ndani, zinazoweza kubinafsishwa kukufaa na kalenda ya kiuchumi. Takriban kipengele chochote cha chati kinaweza kurekebishwa upendavyo, na michanganyiko ya indicators ina uwezekano wa kutokuwa na mwisho.

Utofauti wa mali

Fanya trade ya instruments kamili za Exness kwenye programu za MT5 na MT4. Kutoka Market Watch ya MetaTrader, unaweza kufuatilia bei za wakati halisi, spreads na zaidi kwa kila CFD inayopatikana.

Maelezo ya jukwaa

MetaTrader 4 ya simuMetaTrader 5 ya simu
Inapatikana kwenye
iOS, AndroidiOS, Android
Aina za Akaunti
Akaunti zote za MT4Akaunti zote za MT5
Aina za chati
Candle, bar, lineCandle, bar, line
Orders zinazosubiri
Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, take profit, stop lossBuy limit, buy stop, sell limit, sell stop, buy stop limit, sell stop limit, take profit, stop loss
Masharti ya chini zaidi ya mfumo
iOS 11.0, Android 5.0iOS 11.0, Android 5.0

Pakua MetaTrader 4 ya Simu

Pakua MetaTrader 5 ya Simu