Hati za Kisheria

Pata maelezo ya kila unachohitaji kujua kuhusu mikataba yetu ya kisheria na sheria na masharti ya biashara.

Matangazo

Julai 1, 2024

Tungependa kuwajulisha wateja wote wa Exness (SC) Ltd, Exness (VG) Ltd na Exness B.V., kuwa hivi majuzi tulisasisha Mkataba wetu wa Mteja kama mojawapo ya juhudi tunazoendeleza za kuboresha utoaji wetu wa biashara na kuboresha vipengele muhimu vya uhusiano wetu na wateja wetu. Tunakuhakikishia kuwa Mkataba uliosasishwa wa Mteja hautaathiri operesheni zako za biashara na Exness (SC) Ltd, Exness (VG) Ltd na Exness B.V.

Tunakuomba ukague Mkataba wa Mteja uliosasishwa na ikiwa una maswali yoyote, tutumie barua pepe kwa [email protected]. Timu yetu ya wataalamu wa Huduma kwa Wateja itakusaidia.

Tafadhali kumbuka kuwa hakuna hatua zaidi inayohitajika kwa upande wako kwa sasa, kwani Mkataba wa Mteja uliosasishwa utaanza kutekelezwa kiotomatiki baada ya siku tano (5) za kazi.

Asante kwa ushirikiano wako.

Fanya biashara na broker anayeaminika leo

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.