Fanya trade ya forex

kwa spreads za chini na thabiti

Fikia soko la kimataifa la forex na ufanye trade ya jozi za sarafu maarufu zaidi duniani kwa hali zilizo bora kuliko za soko.

Kwa nini ufanye trade ya soko la forex katika Exness

Nufaika kutokana na soko la sarafu na ufanye trade ya sarafu kwenye majukwaa ya biashara ya Forex ya kiwango cha juu ukiwa na broker anayechakata zaidi ya trilioni $3 katika kiwango cha biashara cha kila mwezi.

Aina mbalimbali ya bidhaa za FX

Fanya trade kwa zaidi ya jozi 100 za sarafu kwa leverage inayoweza kubadilika* na ufurahie ufikiaji wa uteuzi mkubwa wa jozi kuu, jozi ndogo na jozi nadra za FX. *Kulingana na equity ya akaunti yako

Biashara ya swap-free

Fanya trade nyingi za jozi kuu za FX na baadhi ya jozi ndogo za FX swap-free na ushikilie trading positions zako bila ada za rollover.

Spreads za chini na thabiti

Fanya trade kwenye soko la forex kwa gharama za chini na zinazoweza kubashirika za biashara. Furahia spreads za chini ambazo hubaki kuwa thabiti, hata wakati wa matoleo ya taarifa za kiuchumi na matukio ya soko.

Kutoa pesa papo hapo

Toa funds zako haraka na kwa urahisi. Chagua njia ya malipo ya kimaeneo au ya kimataifa na upokee idhini ya maombi yako ya kutoa pesa ndani ya sekunde chache.

Ulinzi dhidi ya Stop Out

Fanya Trade ya Forex mtandaoni ukiwa na kipengele cha kipekee cha ulinzi wa soko ambacho hulinda positions zako dhidi ya volatility ya muda ya soko na ucheleweshaji au kuepuka stop out.

Execution ya haraka

Nufaika na mienendo ya bei ya mara kwa mara ya jozi maarufu za sarafu kwa execution ya haraka. Orders zako za biashara ya FX zitatekelezwa kwa chini ya milisekunde 25 kwenye terminali zote zinazopatikana.

Spreads na swaps za soko la Forex

Akaunti

Spreads na swaps za soko la Forex

Market execution
Ishara
Spread wastani

pips

Ada

kwa kila lot/upande

Margin

1:2000

Long swap

pips

Short swap

pips

Stop level*

pips

Masharti ya soko la Forex

Soko la forex ndilo soko kubwa zaidi la kifedha duniani. Kwa zaidi ya kiwango cha biashara cha kila siku cha trilioni $5.5, biashara ya jozi ya sarafu hutoa fursa nyingi saa 24 kwa siku, siku 5 kwa wiki.

Saa za biashara ya forex

Saa za biashara ya forex ni kuanzia Jumapili 22:05:00 hadi Ijumaa 21:59:00, hata hivyo, jozi za sarafu zilizoorodheshwa hapa chini zina saa tofauti za biashara:

Instrument
Fungua
Funga
USDCNH, USDTHB
Jumatatu
00:05:00
Ijumaa
21:59:00

Mapumziko ya kila siku -

USDILS, GBPILS
Jumatatu
06:00:00
Ijumaa
16:00:00

Mapumziko ya kila siku 16:00:00-06:00:00

Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).

Spreads

Spreads huelea kila wakati. Kwa sababu hii, spreads katika jedwali lililo hapo juu ni wastani kulingana na siku ya biashara iliyotangulia. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa la biashara.

Tafadhali kumbuka kuwa spreads zinaweza kupanuka wakati soko linapata liquidity ya chini, ikiwa ni pamoja na muda wa mauzo. Hii inaweza kuendelea hadi viwango vya liquidity vitakaporejeshwa.

Spreads zetu za chini kwenye akaunti ya Zero na hubaki kwa pip 0.0 kwa 95% ya siku ya biashara. Instruments hizi zimewekwa alama ya kinyota kwenye jedwali.

Swaps

Swap ni riba ambayo imewekwa kwa positions zote za biashara ya forex na ambazo huwachwa wazi usiku. Viwango vya swaps hutofautiana kutoka jozi moja hadi nyingine.

Wakati kiwango cha swap ni hasi, inamaanisha kuwa swap hukatwa kutoka kwa position. Hata hivyo, kunapokuwa na takwimu chanya kwa kiwango cha swap, kiasi hicho huwekwa. Swaps hutekelezwa saa 21:00 GMT+0 kila siku, bila kujumuisha wikendi, hadi position hio ifungwe. Ili kukusaidia kukadiria gharama zako za swap, unaweza kutumia kikokotoo chetu rahisi cha Exness.

Tafadhali kumbuka kuwa wakati wa kufanya biashara ya jozi za forex, swaps tatu za ubadilishaji fedha hutozwa siku ya Jumatano ili kufidia gharama za malipo za mwishoni mwa wiki.

Hatutozi swaps kwa instruments zilizowekwa kwenye jedwali hapo juu ikiwa una hali ya extended swap-free.

Ikiwa wewe ni mkazi wa nchi ya Kiislamu, akaunti zote ni swap-free.

Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.

Masharti ya margin yasiyobadilika

Masharti ya margin kwa jozi za sarafu nadra daima hayabadiliki, bila kujali kiwango cha leverage unachotumia. Margin za intruments hushikiliwa kwa mujibu wa masharti ya margin ya intrument na haziathiriwi na leverage kwenye akaunti yako.

Masharti ya margin yanayobadilika

Masharti ya margin ya akaunti yako yanalingana na kiasi cha leverage unachotumia. Kubadilisha leverage kutasababisha masharti ya margin kubadilika.

Jinsi spreads zinavyobadilika kulingana na hali za soko, kiwango cha leverage unachoweza kupata kinaweza pia kutofautiana. Hii inaweza kutokea kwa sababu kadhaa zilizoelezewa hapa chini.

Equity

Leverage ya juu zaidi hubadilika kulingana na equity ya akaunti yako:

Equity, USD
Kiwango cha juu zaidi cha leverage
0 – 999
1:Bila kikomo
0 – 4,999
1:2000
5,000 – 29,999
1:1000
30,000 au zaidi
1:500

Leverage ya juu zaidi hubadilika kulingana na equity ya akaunti yako:

Equity, USD
Kiwango cha juu zaidi cha leverage
0 – 999
1:Bila kikomo
0 – 4,999
1:2000
5,000 – 29,999
1:1000
30,000 au zaidi
1:500
Habari za kiuchumi

Kuanzia dakika 15 kabla ya kuchapishwa kwa habari muhimu za kiuchumi hadi dakika 5 baada ya kuchapishwa, masharti ya margin ya positions mpya zinazofunguliwa kwenye instruments za forex zilizoathiriwa hukokotolewa kwa kiwango cha leverage cha 1:200.

Unaweza kujua wakati habari muhimu za kiuchumi zinastahili kutolewa kwenye Kalenda yetu ya kiuchumi.

Kuanzia dakika 15 kabla ya kuchapishwa kwa habari muhimu za kiuchumi hadi dakika 5 baada ya kuchapishwa, masharti ya margin ya positions mpya zinazofunguliwa kwenye instruments za forex zilizoathiriwa hukokotolewa kwa kiwango cha leverage cha 1:200.

Unaweza kujua wakati habari muhimu za kiuchumi zinastahili kutolewa kwenye Kalenda yetu ya kiuchumi.

Wikendi na sikukuu

Sheria ya ongezeko la margin pia inatumika kwa biashara zote za forex zinazofanyika wikendi. Instruments zote katika kipindi hiki zinategemea kiwango cha juu zaidi cha leverage cha 1:200. Sikukuu huwa na utofauti kidogo kwani ni instruments na masoko fulani pekee ndiyo yanayoweza kuathiriwa na sheria hii. Kukiwa mabadiliko katika masharti ya margin kutokana na likizo, tutakujulisha kupitia barua pepe.

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.

Sheria ya ongezeko la margin pia inatumika kwa biashara zote za forex zinazofanyika wikendi. Instruments zote katika kipindi hiki zinategemea kiwango cha juu zaidi cha leverage cha 1:200. Sikukuu huwa na utofauti kidogo kwani ni instruments na masoko fulani pekee ndiyo yanayoweza kuathiriwa na sheria hii. Kukiwa mabadiliko katika masharti ya margin kutokana na likizo, tutakujulisha kupitia barua pepe.

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.

Fungua akaunti ya forex na unufaike na mienendo ya bei ya sarafu pamoja na hali bora kuliko za soko

  • Fanya trade kwenye jozi kuu, jozi ndogo, na jozi nadra za FX zenye spreads ndogo zaidi na leverage inayoweza kubadilika.

  • Fikia mapato yako bila kucheleweshwa.

  • Furahia execution ya haraka na sahihi kwenye mifumo inayopendelewa na wafanyabiashara kama vile MT4, MT5, Web Terminal ya Exness na programu ya Exness Trade.

  • Fungua akaunti leo na ujiunge na zaidi ya forex traders 470K wanaoendeleza biashara.

Maswali yanayoulizwa sana

Zote
Biashara ya Forex
Margin
Pending orders
Gaps

Jozi za sarafu ambazo ni maarufu zaidi za kutrade ni zile zinazotoa ukwasi zaidi - yaani zile ambazo watu hutrade zaidi.

Hizi ni pamoja na jozi kuu za FX kama vile AUDUSD, EURUSD, GBPUSD, NZDUSD, USDCAD, USDCHF, na USDJPY. Jozi hizi zote za biashara za sarafu zinapatikana kwa kutrade swap-free katika Exness, kwa hivyo unaweza kushikilia positions zako kwa muda mrefu bila malipo ya ziada.

Jozi zingine za sarafu maarufu ambazo traders wanapenda kuongeza kwenye portfolio zao ni jozi ndogo za FX. Hizi ni pamoja na AUDCAD, CADCHF, EURAUD, GBPCHF, na zaidi. Jozi nyingi ndogo za FX pia zinapatikana bila malipo ya usiku kucha katika Exness.

Unaweza kuona ni jozi gani ndogo haswa zilizojumuishwa katika mpango swap-free kwenye jedwali la instruments kwenye ukurasa huu.

Leverage ni uwezo wa kuweka trades kwa kutumia mtaji uliokopwa.

Broker wako hukupa aina ya mkopo ili kuongeza kwenye funds zako, ili uweze kutumia kiasi kidogo cha pesa zako, lakini bado ufikie trading positions kubwa.

Inapounganishwa na mkakati thabiti wa udhibiti wa hatari, leverage katika Forex inaweza kuleta faida kubwa kutoka kwa biashara ya FX, kwa sababu inafanya kuweka mtaji kwenye mienendo yenye bei ndogo kuwa na faida zaidi.

Lakini inaweza pia kusababisha hasara kubwa zaidi usipoiunganisha na mkakati mzuri wa kudhibiti hatari.

Ili kuepuka hasara nyingi na kuongeza uwezekano wako wa kupata faida kubwa zaidi, hakikisha kuwa unapanga mkakati wako wa hatari na kudumisha kiwango cha juu cha ufichuo kabla ya kuchagua option unayopendelea ya leverage.

Margin katika biashara ya Forex ya mtandaoni ni kiasi cha pesa ambacho unahitaji kufungua position. Inafanya kazi kama dhamana dhidi ya mienendo yoyote ya bei.

Brokers wa forex kwa kawaida hubaini hii kama asilimia ya ukubwa wa jumla ya position, kulingana na leverage uliyochagua.

Ili kufungua biashara ya Forex mtandaoni, unahitaji kuwa na funds za kutosha katika akaunti yako ili kutimiza masharti ya margin ya trade hiyo.

Unaweza kupata udhibiti zaidi wa trades zako kwa kuweka margin level inayofaa ambayo inalingana na mkakati wako wa jumla wa kudhibiti hatari.

Wakati habari muhimu zinatolewa, kubadilikabadilika ghafla na gaps zinaweza kuwepo. Kutumia kiwango cha juu cha leverage katika soko linalobadilikabadilika ghafla ni hatari kwa sababu mabadiliko ya ghafla yanaweza kusababisha hasara kubwa. Ndiyo maana tunaweka kikomo cha leverage cha 1:200 wakati wa kutolewa kwa habari kwa positions zote mipya za instruments zilizoathiriwa.

Katika hali ambapo vipindi hivi vya ongezeko la masharti ya margin kwa matoleo tofauti ya habari vimetengana kwa chini ya dakika 15, vipindi hivi vinaweza kuunganishwa na kuwa kipindi kimoja kirefu kwa instruments zinazohusika. Utapokea barua pepe kutoka kwetu kukupa maelezo kamili ya mabadiliko ya masharti ya margin kwenye jukwaa lako la biashara.

Wakati muda uliowekwa umepita, margin ya positions wazi wakati wa kipindi hicho hukokotolewa upya kulingana na kiasi cha funds kwenye akaunti na thamani iliyochaguliwa ya kiwango cha leverage.

Kufunga hedged order katika kipindi cha ongezeko la masharti ya margin kutasababisha unhedged position inayochukuliwa kama position mpya iliyofunguliwa. Kwa hivyo, margin za position hii hukokotolewa kulingana na masharti yaliyoongezewa ya margin na husambazwa sawia kati ya transactions wazi zinazohusisha hedging financial instrument.

Masharti ya margin ya ufunguzi wa positions mpya yatakokotolewa kwa kiwango cha juu zaidi cha leverage cha 1:200 kuanzia Ijumaa saa 18:00 GMT (saa tatu kabla ya soko la forex kufungwa) hadi Jumapili saa 22:00 GMT (saa moja baada ya soko kufunguliwa).

Kwa saa moja baada ya soko kufunguliwa, positions zako zitasalia katika mahitaji ya margin yaliyoongezeka.

Saa moja baada ya soko kufunguliwa, margin ya positions zilizofunguliwa katika kipindi cha mahitaji ya margin yaliyoongezeka hukokotolewa upya kulingana na kiasi cha funds katika akaunti yako na leverage ulioweka.

Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:

  • Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.

  • SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.

  • Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.

Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.

Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.

Fanya biashara ya forex

Tumia soko kubwa zaidi la kifedha duniani