Programu ya Exness Trade

Fanya maombi ya biashara bila wasiwasi wakati wowote, mahali popote.

Zana za biashara

Uwekaji chati wa hali ya juu

Nufaika na zana za hali ya juu za uwekaji chati ikiwa ni pamoja na indicators maarufu.

Arifa za bei

Weka mipangilio ya arifa za programu ili kujulishwa wakati bidhaa inafikia kiwango fulani.

Kikokotoo cha biashara cha ndani ya programu

Kukokotoa margins, spreads na swaps haraka na kwa ufanisi ndani ya programu.

Arifa za maombi ya biashara

Dhibiti biashara yako na uendelee kufahamishwa kuhusu hali ya positions zako.

Muhtasari wa kina wa order

Kagua historia yako ya biashara kwa muhtasari wa kina wa kila order ya awali.

Orodhesha favorites, tazama top movers

Weka alama kwenye instruments unazopendelea na utazame zile zilizo na mabadiliko makubwa ya bei.

Rasilimali za uchanganuzi

Ishara za Trading Central

Panga mikakati ya maombi ya biashara ukitumia ishara zinazojumuisha mbinu mbalimbali za uchanganuzi.

Kalenda ya kiuchumi

Fuatilia habari zenye athari kubwa, matukio muhimu ya kiuchumi na matoleo ya data.

Habari za soko za FXStreet

Pata habari za wakati halisi za soko na sasisho mpya zaidi.

Je, kwa nini utumie Exness

Masharti bora kuliko ya soko, vipengele vya kipekee na usalama wa kiwango cha juu, pamoja na kujitolea kwetu kwa uwazi na huduma bora kwa mteja, ndizo sababu zinazofanya traders waendelee kuchagua Exness.

Kutoa pesa papo hapo

Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹

Execution ya kasi zaidi

Kaa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu ya maombi ya biashara. Pata orders zako zitekelezwe katika milisekunde kwenye mifumo yote inayopatikana katika Exness.

Ulinzi Dhidi ya Stop Out

Furahia kipengele chetu cha kipekee cha Ulinzi dhidi ya Stop Out, chelewesha na wakati mwingine uepuke stopouts kabisa unapofanya trade katika Exness.

Maswali yanayoulizwa sana

Ukiwa na Exness Trade, unaweza kufikia kituo maalum cha biashara kilichoundwa kwa ajili ya akaunti za kutrade za MT5. Vipengele muhimu ni pamoja na kufungua, kufunga, na kurekebisha orders, pamoja na kufuta pending orders. Exness Trade inatoa vipengele muhimu vya kudhibiti akaunti za kutrade, instruments za biashara, chati zilizo na indicators, na ufikiaji wa haraka wa historia ya order na arifa kwa maombi ya biashara.

Ili kudhibiti Eneo lako la Binafsi katika Exness Trade, vichupo mbalimbali vilivyo ndani ya programu ya biashara vinaweza kutumika. Kichupo cha "Akaunti" hukuruhusu kufikia Eneo lako la Binafsi, kutazama free margin, historia ya order na maelezo ya akaunti. Unaweza kudhibiti akaunti zilizopo za kutrade na kufungua mpya, pamoja na kuweka na kutoa pesa kwa kutumia akaunti zako za kutrade.

Biashara ya ndani ya programu inapatikana kwa akaunti za MT5 pekee. Ikiwa umeingia kwenye akaunti ya MT4, utaelekezwa upya ili kupakua programu ya kifaa cha mkononi ya MT4 kwenye simu yako.

Programu yetu ya Exness Trade inapatikana katika nchi nyingi ambako tunakubali usajili. Ikiwa huoni vitufe vya kupakua kwenye ukurasa huu, inamaanisha kuwa programu hii haipatikani kwa sasa kwenye maduka ya programu katika nchi yako. Tunapofanya kazi kuongeza maeneo na maduka ya programu kama vile Google Play na App Store ambako programu ya Exness Trade inapatikana, bado unaweza kufanya trade katika Exness popote ulipo kwa kupakua programu za kifaa cha mkononi za MetaTrader 4 au MetaTrader 5.

Pakua Programu ya Exness Trade

Pata udhibiti wa trades zako popote ulipo.