Akaunti ya demo

Akaunti hii ya Exness ya demo trading isiyo na hatari hukupa mafao ya kuboresha ujuzi na mikakati yako ya biashara, na pia kufahamu zana za kipekee za biashara za Exness bila hatari ya kifedha.

Faida za kutumia akaunti ya demo trading ya Exness

Akaunti yetu ya demo trading inaweza kuwa “jukwaa muhimu” la kujaribu mikakati na kuboresha ujuzi wako bila hatari yoyote. Hivi ndivyo utakavyofaidika:

Mazoezi bila hatari

Fanya mazoezi ya biashara bila hatari ya kifedha, ukiboresha mikakati na kujifunza kutokana na makosa.

Ukuzaji wa ujuzi

Boresha uwezo wa kibiashara, kuanzia kwa uchanganuzi wa soko hadi kufanya maamuzi.

Kujaribu mkakati

Jaribu mikakati mbalimbali katika masharti halisi ya soko.

Mwelekeo wa jukwaa

Zoea kutumia zana na vipengele vya jukwaa la biashara.

Chunguza mali na masoko ya Exness

Fanya mazoezi ya kutrade kwa kutumia mali zetu mbalimbali kutoka kwa masoko makuu ya kifedha ya kimataifa kwa masharti sawa na ya akaunti za kutrade ya moja kwa moja.

Boresha ujuzi wako ukiwa nyumbani au popote ulipo

Majukwaa ya Kompyuta ya mezani na Tovuti

Chunguza majukwaa yetu mbalimbali kama vile MetaTrader 4 na Metatrader 5, Metatrader WebTerminal, na Terminali ya Exness ili kuboresha ujuzi wako wa kufanya biashara ya demo.

Majukwaa ya vifaaa vya mkononi

Iwe unapendelea programu ya kifaa cha mkononi ya MetaTrader au Programu ya Exness Trade, uzoefu wako wa demo trading umerahisishwa na unafaa kwa mafao na vipengele vyote vya Exness.

Jinsi ya kufungua akaunti ya demo ya Exness

Hatua ya 1

Jisajili

Sajili Eneo la Binafsi la Exness kwa kubofya ‘Jaribu demo bila malipo’ kwenye ukurasa huu.

Hatua ya 2

Pata salio la demo

Bofya ‘Akaunti ya Demo’ na upate akaunti ya demo ya Standard ya MT5 yenye salio la demo la $10,000.

Hatua ya 3

Chunguza jukwaa

Chagua instrument ya biashara, sanidi chati kulingana na mapendeleo yako na ufungue trade yako ya kwanza ya demo.

Maswali yanayoulizwa sana

Tofauti kuu ni kwamba akaunti za real zinahusisha kufanya biashara kwa kutumia pesa halisi, huku akaunti za demo trading zikitumia pesa pepe bila thamani yoyote halisi. Masharti ya soko ni sawa kwa aina zote mbili za akaunti, na kufanya akaunti za demo kuwa bora kwa mazoezi ya mkakati. Akaunti za demo zinapatikana kwa aina zote za akaunti isipokuwa Standard Cent.

Ongeza pesa kwenye akaunti yako ya demo trading kwa kuingia kwenye Eneo lako la Binafsi la Exness. Bofya ‘Weka Salio’ kwenye akaunti ya kutrade ya demo kwenye kichupo cha ‘Akaunti Zangu’. Inawezekana pia kufanya hivi ukitumia programu ya Exness Trade.

Hapana. Akaunti za demo ni akaunti pepe za kutrade zinazoiga masharti halisi ya biashara, na kuruhusu traders kufanya mazoezi bila kutumia funds halisi. Unaposajili akaunti ya Exness, huwa unapata akaunti ya demo ya MT5 yenye $10,000 katika funds pepe kwa chaguomsingi.

Jaribu mikakati ya biashara katika Exness

Furahia vipengele vyetu vyote vya kipekee na masharti bora kuliko ya soko, bila hatari.