Kikokotoo cha Uwekezaji

Order yako
Matokeo
Margin
Gharama ya spread
Ada
Swap short
Swap long
Thamani ya pip

Kanusho: Kikokotoo cha biashara kimetolewa kwa madhumuni ya kielelezo pekee. Matokeo yanayowasilishwa na kikokotoo hiki ni kwa madhumuni ya mafunzo na ukadiriaji na hupaswi kuyategemea kuwa kamili na katika kufanya maamuzi ya uwekezaji. Matokeo ya wakati halisi yanaweza kubainishwa tu wakati wa utekelezaji wa agizo.

Maswali yanayoulizwa sana

Zana mwafaka na rahisi, Kikokotoo cha Uwekezaji cha Exness hukusaidia kukokotoa kiotomatiki misingi ya trading position yako, ambayo ni pamoja na margin, gharama ya spread, ada, swap short, swap long, na pip value.

Kikokotoo hiki ni muhimu sana unapotaka kubainisha thamani zilizo hapo juu kwa positions nyingi zilizo wazi kwenye aina mbalimbali za instrument.

Kwenye kikokotoo:

  • Chagua aina ya akaunti ya kutrade ya Exness unayofanyia trade (akaunti ya Standard, Standard Cent, Pro, Raw Spread au Zero).

  • Weka kiwango cha leverage na sarafu ya akaunti ambayo umeweka kwa akaunti yako ya kutrade. Sehemu ya leverage itazimwa unapochagua instruments za kutrade zilizo na masharti ya margin yasiyobadilika.

  • Chagua instrument yako ya kutrade kutoka kwenye orodha ya jozi za sarafu za fedha za forex, metali, stocks, indices, nishati na crypto.

  • Weka ukubwa wa lot ya trade yako, kisha ubofye kitufe cha 'Calculate'.

Utaweza kuona matokeo ya ukokotoaji wa margin inayohitajika, gharama ya spread, ada, swap short na long, na pip value ya position.

Kwa sasa kuna thamani 6 ambazo zitaonyeshwa na kikokotoo cha uwekezaji:

  • Margin - Huu ni mtaji unaohitajika, au salio, ambalo linahitajika ili kudumisha position iliyo wazi.

  • Gharama ya spread - Ni kiasi ambacho unalipa unapofungua position. Gharama ya spread inayokokotolewa hapa inatokana na wastani wa spread kwa siku iliyopita ya kutrade. Kwa sababu spread hubadilika mara kwa mara, kulingana na hali ya soko, gharama ya mwisho ya spread inaweza tu kubainishwa wakati position inafunguliwa.

  • Ada - Ada hutozwa kwa kutrade kwenye akaunti za Raw Spread na Zero. Hutumika kwa kila lot inayofanyiwa trade na kwa kufungua na kufunga position. Thamani ya ada unayoona katika matokeo ya ukokotoaji ni ada ya jumla kwa pande zote mbili za trade (kufungua na kufunga), ambayo itatozwa wakati wa kufungua position. Kumbuka kuwa spreads hujumuishwa katika ukokotoaji wa floating profit na hasara ya order, huku ada ikiwa ni gharama tofauti.

  • Swap short na swap long - Swap ni riba inayotumika kwa positions za trade ambazo zimeachwa wazi usiku kucha, na inaweza kuwa ndefu au fupi kulingana na trade. Swap short kiwango cha Sell positions ilhali swap long ni kwa Buy positions.

  • Thamani ya pip - Hii huamua thamani ya pip 1, ambayo husaidia kukokotoa ni kiasi gani cha fedha ambacho trader atapata, au angepoteza, ikiwa bei ya trade itasogezwa kwa pip moja. Thamani ya pip hukokotolewa kwa sarafu ya bei kwa fomula, Lots x Ukubwa wa Mkataba x Ukubwa wa Pip.

Kiwango cha leverage kimetolewa kwa instruments fulani kwa kuwa zinaleverage iliyowekwa mapema. Katika hali kama hizi kiwango cha leverage hakibadiliki, hakiwezi kubadilishwa na hakiathiriwi na kiwango cha leverage katika akaunti yako ya kutrade.

Boresha jinsi unafanya biashara

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.