Biashara ya mtandaoni yenye hali bora kuliko za soko
Fanya biashara katika masoko mengi kwa bei thabiti na ya kutegemewa zaidi katika sekta.
Utoaji wa pesa papo hapo, wakati wowote (24/7)
Hatua ya uchakataji huchukua sekunde chache bila uchakataji wa mtu, ikiwa ni pamoja na wikendi.
Pata maelezo zaidi kuhusu uwekaji na utoaji wa pesa katika ExnessTunatii Kiwango cha Usalama wa Data za Sekta ya Kadi za Malipo (PCI DSS) ili kuhakikisha usalama na faragha yako. Tunakuhakikishia hali ya matumizi ya malipo iliyolindwa.
Fikia na ufanye trade katika masoko ya kimataifa
Hisa
Fanya trade ya stocks zenye majina makubwa katika soko la stock la kimataifa kwa gharama ndogo za transaction
Pata maelezo zaidi
Akaunti zinazoendana na mkakati wako wa biashara
Akaunti za Standard
Standard
Akaunti zenye vipengele vingi, zisizotozwa ada zinazokidhi mahitaji ya wafanyabiashara wa kisasa. Jisajili na ufurahie manufaa ya akaunti yetu maarufu zaidi.
Angalia maelezoAkaunti za Professional
Raw Spread
Zero
Pro
Uwezo wa kubadili chaguo kati ya muundo wa raw spread, spread ya sufuri na ada ya sifuri. Kwa wafanyabiashara wenye uzoefu, wanaofanya biashara za vipindi vya haraka na wafanyabiashara otomatiki.
Angalia maelezoNambari zinazotumika katika Exness
Iwe ni kiwango cha biashara ama idadi ya wateja wanaofanya biashara, tunafurahi kushiriki nawe takwimu zinazotufanya kuwa miongoni mwa brokers wakuu duniani
Pata maelezo zaidiDola trilioni 4.8
Kiwango cha biashara mnamo Oktoba 2023
694006
Wateja waliondeleza biashara mnamo Oktoba 2023
Dola bilioni 1.71
Fedha zilizotolewa na wateja katika Q3 2023
Dola milioni 140.8
Mapato ya washirika katika Q3 2023
Je, uko tayari kuanza?
Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara